SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,757
Kongwa ndo home ila mpaka aibu. Hope pamejengwa nyumba ya Heshima. Kama VP SUMMA waende kujenga Hata room 3
Alikuwa anaogopa kurogwaKongwa ndo home ila mpaka aibu. Hope pamejengwa nyumba ya Heshima. Kama VP SUMMA waende kujenga Hata room 3
Ni utaahira kuogopa siku ya mazishi wakati pale kinachozIkwa ni mwili usiokuwa hai. Hauoni wala hausikiiMchaga akipata chance cha kwanza anajenga kwao kuepuka fedheha siku ya mazishi
Je? kama yeye ndo chanzoKuhusu chanzo Cha kifo mhuni Pole pole namsubiria hawezi niangusha!
Wagogo mtihaniNi utaahira kuogopa siku ya mazishi wakati pale kinachozIkwa ni mwili usiokuwa hai. Hauoni wala hausikii
Wewe umejenga kwenu?Kongwa ndo home ila mpaka aibu. Hope pamejengwa nyumba ya Heshima. Kama VP SUMMA waende kujenga Hata room 3
PAmoja na hayo, nyumba ina umuhimu wake, ukipata nafasi jenga nyumba.Ni utaahira kuogopa siku ya mazishi wakati pale kinachozIkwa ni mwili usiokuwa hai. Hauoni wala hausikii
Wagogo wanaje ga nyumba za tembePAmoja na hayo, nyumba ina umuhimu wake, ukipata nafasi jenga nyumba.
Ni aina nyingine ya ujingaMchaga akipata chance cha kwanza anajenga kwao kuepuka fedheha siku ya mazishi
Tulia uone drama Kongwa zaidi ya maturubai usitegemee maajabuNi aina nyingine ya ujinga
Polepole anasema mbinu ikiyotumika kumtoa Mbowe gerezani , itumike kumtoa mtaalamu LissuTulia uone drama Kongwa zaidi ya maturubai usitegemee maajabu
Lisu hatakubali kichwa kibovu kilePolepole anasema mbinu ikiyotumika kumtoa Mbowe gerezani , itumike kumtoa mtaalamu Lissu
Jela hapazoelekiLush hatakubali kichwa kibovu kile
Hanyongwi tena?Jela hapazoeleki
ItajePolepole anasema mbinu ikiyotumika kumtoa Mbowe gerezani , itumike kumtoa mtaalamu Lissu