Kong'ota

yutong

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
1,601
Reaction score
338
Kitendawili wanaJF ... bila shaka mtaitikia tegaaa:

Ni handsome boy
Anapenda safari za nje
Chukua akili za kwako changanya na za mbayuwayu.. eh
sizihitaji kura za wafanyakazi
hata nyoka akizeeka anajivua gamba
hawezi kujibadili kuwa wingu akanyeshe mtera


haya kazi kwako kutegua kitendawili
 
Sikujibu kabsaaaaa nisije nikatungiwa kesi ya kubaka na kulawiti watoto wadogo nikaishia jela!
 
Mkuu nakupa Arusha!!! Nafikiri huu ni mji muafaka, tafadhali tegua kitendawili, tupe jibu (Angalia usije ukandoka na PAW!!!!) LOL

Tiba
 
Mkuu nakupa Arusha!!! Nafikiri huu ni mji muafaka, tafadhali tegua kitendawili, tupe jibu (Angalia usije ukandoka na PAW!!!!) LOL

Tiba

Arusha haina meya, siendi
 
Inaonekana kitendawili kigumu sana. Nipeni mjimnipeni mji
 
Tumia kasi, ari na nguvu mpya ukishindwa tumia kasi, ari na nguvu zaidi - tupe jibu
 
Naona wana-JF wanapata ugumu kumjua ni nani niiii?

Ben Kinyaiya.

Naomba zawadi yangu Bw.Yutong.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…