kongosho kongosho kongosho................

Happy birthday Kongosho Mungu akupe maisha marefu yenye furaha!
 
Last edited by a moderator:
asante Bishanga.

Nilijua tu unataka 'attention' yangu

nakuja afu unitose kama siku ile ulivyokimbia bill

Happy birthday darling.
Lunch njoo basi jackies nikupe ofa ya kuku wa kuchoma,pliiiiiiz come.
 
Wouu!mama la mahaba,shangingi sugu,mtaalamu wa malavidavi,ukipenda mwiite tandandamu,mpora waume za watu.....happy birthday Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Kongosho Mungu akupe maisha marefu yenye furaha!

Asante P, hapa tu nina marefu kweli
Na natamani yaendelee tu

bwahaaabwahaabwahaa...........

kwanza kabisa
Happy birthday kongosho....sweetheart mkubwa wa The Boss....


pili una kifua wewe? nikungong'oneze?

Hapo pekundu, inatosha kabisa
Hao wengine nao watabanana huko huko lol

Wouu!mama la mahaba,shangingi sugu,mtaalamu wa malavidavi,ukipenda mwiite tandandamu,mpora waume za watu.....happy birthday Kongosho

Ha ha ha ha, hebu nitake radhi
Ujue mie nauma majani, hadi aniangusage mwenyewe na sambi zake

Happy Birthday to you Kongosho

Asante mtambuzi, msalimie na wanao Cantalisia na King'asti

mama kwani Kongosho kakuzidi?au

Nimemzidi miaka 10, inakuhu?
 
Last edited by a moderator:
wee unavyosarandia wake za watu Unga LTD unadhani wote.

He he he, lako hilo.

Hayo mambo nshayaacha long time,mimi na mtu flan basi,siangalii kushoto wala kulia, i am fixed on a cerain point.
 
usinipende inahu?

Huoni nilivyoitwa 🙂 na mtoa mada?
Konnie ,
Mapozi yako sasa! Hata hivyo nimelipenda pozi hili,
ikibidi bweka mwenyewe!
Vinginevyo happy birthday kiongozi wangu.
 
Asante Judgy,

Its a shame Husyn hayupo lol

ningevaa naye dela sare sare.

Konnie ,
Mapozi yako sasa! Hata hivyo nimelipenda pozi hili,
ikibidi bweka mwenyewe!
Vinginevyo happy birthday kiongozi wangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…