Kongole Rais Samia kwa kuiokoa Ngorongoro

,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea
Hao wanyama ndo wanafanya watu waende huko...Tanzania inamaeneo mengi Sana makubwa na yapo wazi..kwann tuende wasumbua wanyama kwenye makazi yao
 
Hao wanyama ndo wanafanya watu waende huko...Tanzania inamaeneo mengi Sana makubwa na yapo wazi..kwann tuende wasumbua
 
Anauliza, tembo anakula dhahabu?
Suala la uchimbaji wa madini huwa linahusisha complex process pamoja na chemicals mbaya sana ambazo zinaweza kuua wanyama,kufukuza wanyama,kuua ecology ya mbugani,kuleta mabadiliko ya mazingira huko mbugani na kadhalika.Yeye kusema kuwa tembo hali dhahabu ni anafanya mzaha na mambo ambayo yana athari kubwa katika Taifa.Halafu pia hizi mbuga zilipaswa kuhifadhi madini yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea
Nafikiri unatambua umuhimu wa NCA ktk kuchangia ukuaji wa utalii hapa nchini
Ukitambua hili bac
 
Hakika Mhe.Rais ametoa alert nzuri sana kuhusu kupotea kwa Ngorongoro Conservation area

Eneo linaweza kuimili population ya watu 9000 ila leo Waziri aliposimama pale Ikulu alitaja figure zaidi ya idadi ya watu 9000

Hakuna Mtanzania asiyejua umuhimu wa NCA ktk sekta ya utalii. Hii mbuga pekee duniani ambayo wanyama na binadamu wanaishi pamoja. Ongezeko la binadamu ni wazi linatishia uwepo wa viumbe hai ndani ya eneo ilo

WaTanzania ni jukumu letu kulinda urithi huu wa dunia ambao ni chanzo kikubwa cha mapato ya utalii wetu.

Ester Boserup ana theory nzuri zungumzia Populatiin grown vs Natural resource base .
Correction:- Currently the opulation inside Ngorongoro conservation area is 90'000 to 100'000 and not 9'000.
This is 10 times more than the required population. It's too dangerous for the sustainability of the area.
 
Hao wanyama ndo wanafanya watu waende huko...Tanzania inamaeneo mengi Sana makubwa na yapo wazi..kwann tuende wasumbua wanyama kwenye makazi yao
Historia inatueleza kwamba fuvu linalohisiwa ni la binadamu wa kale Sana kuhishi dunia lilipatikana Olduvai gorge ambapo ni eneo ngorongoro
Hivyo kuna uwezekano eneo hilo binadamu waliishi tokea miaka mingi Sana iliyopita
Siamini Sana kwenye kuthamini wanyama zaidi ya binadamu
Human being must and should always be given first priority before animals
 
Correction:- Currently the opulation inside Ngorongoro conservation area is 90'000 to 100'000 and not 9'000.
This is 10 times more than the required population. It's too dangerous for the sustainability of the area.
Haukuelewa niliaandika eneo lina paswa kuwa na watu 9000. Lkn. Thanks for clarification
 
Sisi wabongo kweli sio wazima ,mama kaokoa au kasema maneno ambayo hupaswi kusema Kama raisi Kwanza anaonekana hakufanya hata tathmini ya alichokisema hajui hata idadi ya watu wanaoishi hapo hajui madhara yanayotokea na Bado hajui hata njia ya kutatua tatizo anasema mtaona mfanye nini?Bado raisi anawapa watu option mwenye tatizo eti tukubali tudhibiti au tuseme ngorongoro byebye jamani !kazi tunayo rais anatakiwa awe na msimamo na atoe miongozo wabongo sio watu wakuwapa option katika Mambo serious Kama haya ya nchi Yani ukiktazama mama unaona kabisaa nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi imempwaya anajihsi Kama yeye mwenyekiti wa kikao Cha familia ya wamakunduchi.
 
Yani uko sahihi kbs kitachovunwa kwa maneno yale ni hatari tupu yani ni hatari tupu, mfn unachimbaje madini kwenye hifadhi ya wanyama hata hao wanakuja kuchimba watakuwa wanatushangaa, tutapata hela tena napo tutapigwa kwenye hizo hela, mwisho wa siku itabaki stori ya hifadhi
 
,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea
Hoja yako dhaifu kuhusu nani muhimu watu au wanyama. Tanzania ni kubwa na ina maeneo mengi. Kuna haja gani kubanana sehemu moja hamruhusiwi kulima wala kujenga nyumba za kudumu. Idadi hoteli za kitalii ni zaidi ya tano kila moja imeajiri watanzania zaidi ya mia moja. Utaratibu mzuri ufanyike Ngorongoro ibakie kwa faida ya sasa na baadae ya Watanzania wote kama ilivyo Serengeti.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom