lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kongo wapinzani wameweza kuishinikiza serekali kufuata matakwa ya wananchi,Tanzania tunasubiri nini? Matakwa makubwa ya wananchi kwa sasa ni Katiba mpya, itayokizi matakwa ya wananchi.
Pili watanzania wanahitaji Tume huru ya uchaguzi, wakongo wameweza watanzania tunasubiri nini? Je tunasubiri tupewe Tume huru na mpya ya uchaguzi kama zawadi na serekali ya Rais Magufuli?
Natambua juhudi za Lowassa na wenzake za kutafuta Katiba Mpya kwa kutumia njia ya mazungumzo, lakini serekali ya Rais Magufuli inamasikio ya kusikia? Watanzania wenzangu Tume huru ya uchaguzi hatuwezi kupewa kama zawadi ya pipi, kuna haja ya ubunifu mpya wa kudai tume huru ya uchaguzi.