Kongo wapinzani wameweza, Tanzania tunasubiri nini?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
Kongo wapinzani wameweza kuishinikiza serekali kufuata matakwa ya wananchi,Tanzania tunasubiri nini? Matakwa makubwa ya wananchi kwa sasa ni Katiba mpya, itayokizi matakwa ya wananchi.

Pili watanzania wanahitaji Tume huru ya uchaguzi, wakongo wameweza watanzania tunasubiri nini? Je tunasubiri tupewe Tume huru na mpya ya uchaguzi kama zawadi na serekali ya Rais Magufuli?

Natambua juhudi za Lowassa na wenzake za kutafuta Katiba Mpya kwa kutumia njia ya mazungumzo, lakini serekali ya Rais Magufuli inamasikio ya kusikia? Watanzania wenzangu Tume huru ya uchaguzi hatuwezi kupewa kama zawadi ya pipi, kuna haja ya ubunifu mpya wa kudai tume huru ya uchaguzi.
 
ikisimama panda

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,125
2,000
Kongo wapinza wameweza kuishinikiza serekali kufuata matakwa ya wananchi,Tanzania tunasubiri nini?matakwa makubwa ya wananchi kwa sasa,ni katiba mpya,itayokizi matakwa ya wananchi
Pili watanzania wanahitaji tume huru ya uchaguzi,wakongo wameweza watanzania tunasubiri nini?je tunasubiri tupewe tume huru na mpya ya uchaguzi kama zawadi,na serekali ya magufuli?natambua Juhudi za lowasa,na wenzake za kutafuta katiba mpya kwa kutumia njia ya madhungumzo,lkn serekali ya magufuli inamasikio ya kusikia?watanzania wenzangu tume huru ya uchaguzi hatuwezi kupewa kama zawadi ya pipi,kuna haja ya ubunifu mpya wa kudai tume huru ya uchaguzi
itayokizi VS madhungumzo..
 
Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,906

Kwani na Tanzania uchaguzi umesogezwa mbele kama kongo??
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,863
2,000
Ni ngumu sana kumdai kitu mtu unayemuogopa kama Mungu, maana ukimdai jambo kwa ukali unaonekana unakufuru na unaweza kupotea au kupotezwa na watu wakasema "hana heshima huyo shauri yake"
Bila kubadili hiyo attitude haki ya nani kutazidi kudolola na hata mtoto wa darasa la kwanza sasa atazeeka bila kuyaona mabadiliko. Umungu mtu lazima ukomeshwe hata ikibidi kwa kutumia nguvu
 
LH XiV

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
347
500
Katika nchi za kiafrica ambazo zinaongoza kwa unafiki moja wapo ni Tanzania, hii ni kwa wananchi na viongozi pia.
Watanzania tumejaa maneno mengi mdomoni na sio vitendo, kila mmoja anakumbuka operesheni ngapi zimeazishwa na wapinzani na zikasitishwa baada ya kutishwa na serikali. Hayo ni mambo yanayotokea Tanzania tu.
Naamini katika ukweli na kujiamin kama unachokifanya unaamin kipo kisheria kwanini uogope kwa maneno tu.

Hakika uhuru wa mtanzania itachukua muda sana kupatikana.
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
Tena huyo Lowasa ndo alituharibia mchakato wa katiba mpya. Halafu anadai katiba mpya kama sio unafiki ni nini? Angeshinda uraisi angebadili katiba?
Mkuu nimejaribu mara tatu kuupitia uzi wa mtoa mada sijaona mahali katajwa lowassa sasa sijui wewe umeyatoa wapi haya.
 
lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
Ccm wao kama wanajiani kwenye siasa za ushindani,kwanini wanaogopa tume huru,itayoridhisha kila anayeshiri uchaguzi?
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,233
2,000
Kongo wapinzani wameweza kuishinikiza serekali kufuata matakwa ya wananchi,Tanzania tunasubiri nini? Matakwa makubwa ya wananchi kwa sasa ni Katiba mpya, itayokizi matakwa ya wananchi.

Pili watanzania wanahitaji Tume huru ya uchaguzi, wakongo wameweza watanzania tunasubiri nini? Je tunasubiri tupewe Tume huru na mpya ya uchaguzi kama zawadi na serekali ya Rais Magufuli?

Natambua juhudi za Lowassa na wenzake za kutafuta Katiba Mpya kwa kutumia njia ya mazungumzo, lakini serekali ya Rais Magufuli inamasikio ya kusikia? Watanzania wenzangu Tume huru ya uchaguzi hatuwezi kupewa kama zawadi ya pipi, kuna haja ya ubunifu mpya wa kudai tume huru ya uchaguzi.
You are such a jerk!! Hauko serious, juhudi za lowassa?? Katiba mpya na lowasa?? Kaanza lini kutaka katiba mpya?? Huu unafiki ndo unawaponza wapinzani kwa kuwachukulia watanzania poa poa tu wakati tuna akili timamu kabisa.
 
THE GAME

JF-Expert Member
May 30, 2010
579
500
sisi wananchi ndio tunatakiwa kuwa wakwanza kudai mabadiliko na katiba mpya vinginevyovyo tutaendelea kutawaliwa na mkoloni ccm vizazi na vizazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom