kasambalakk
Senior Member
- Apr 2, 2011
- 125
- 17
nice...
ndio tupo tunasikiliza mada kuu
ndio tupo tunasikiliza mada kuu
Samahani mkuu kwa kutokukuelewa....!!Wewe ilipinga nini hasa,CCM imeingia vipi katika ishu hii ya Chadema?nipotezee kama vipi
huo ni udikteta, hata kama una kasoro usipingwe?Duh,nimestuka wakuu,..kumbe huu muswada hautakiwi kupingwa?
Sasa hii ni demokrasia au udikteta?
huo ni udikteta, hata kama una kasoro usipingwe?
Kwa nini hivyo visijadiliwe wakati ndivyo vyenye kasoro?Anakosoa Muswada wa katiba unasema wananchi mnaweza kujadili jambo lolote kuhusu katiba mpya lakini msiguse yafuatayo kifungu cha 2
- msijadili muungano
- serikali ya Zanzibar
- mihimili 3 ya dola
- urais
- national unity
- uchaguzi na democrasia
- ulinzi na utetezi wa haki za binadamu
Huko ndiko tunakoelekea.Nahisi tutaambiwa atakae piga kura ya kuupinga atafungwa au tusipo ambiwa wananchi watatishwa