linaonyeshwa kwenye TV gani?
wewe umeenda kwenye kongamano au umeenda kula na kunywa? tupe habari ya yanayojiri na sii hizi porojo zako za kipuuzi.Baba hii ndo bongo bana,hakuna tv yoyote inayoosha cha kushangaza hili kongamano la kitaifa lililoandaliwa na OFISI YA RAIS,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA.
Labda ningeandaliwa na ccm tbc1 wangeonyesha live.
Kongamano linazidiwa na la jana pale UDSM kwani hapa hakuna hata maji ya kunywa hata msosi baadaye.LABDA KWA SABABU NI NCHI MASKINI
hahaha,teteh,kwikwi mhuu!
Vipi kuhusu yale manguo ya kijani na njano, kuna mahali alivaa??sasa hv tunaangalia movie ya maisha ya mwl
Swali.Kwenye picha za mwanzo mwl alionekana akivaa tai,lakn baadaye hajavaa tena tai mpaka alikufa,hii imekaaje wadau?
linaonyeshwa kwenye TV gani?
Shetani hana soni!Great thinkers heshima kwenu,
Kongamano limeshaanza sasa hivi mwenyekiti mh Ben Mkapa ndo anatoa hotuba ya ufunguzi na anamfagilia J.KN kuwa alikuwa akipinga udhalimu,uonevu na unyonyaji.