Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Mlamke! Kuna huyu mnyama mwenye tabia za pekee za kustaajabisha asiyeogopa kifo si mwingne naye ni kondoo.
Nmewahi kuwaona kondoo mara nyngi pale radi inapomulika na kutoa sauti huyu mnyama anabadlika anajiweka mazingira ya kugombana.
Inafikia hatua anajiandaa kabisa anarudi nyuma kama kwamba anataka kupiga kichwa kitu.
Zaman wazee walifikia hatua ya kumfungulia pindi radi zikianza waliohofia kuwa anaweza kufa.
Sasa je kuna reaction gani kati ya radi na kondoo? Wakat radi sio mnyama?.
mshana jr , christina ibrahim , The Boss Malafyale nawengne wengi njoon hapa

Last edited by a moderator: