Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Siwezi kufanya dhambi 2 at per ,kuua na kuzini hizo Kitu Kwanza zinabana
 
Fursa hiyoooooooo!!!
Jamani natafuta mwekezaji ili tujenge kiwanda cha kondom za kisasa,soko lipo la kutosha sana maana wazinzi wapo kwa ajili yetu!!!
 
Kwani ana bleed kila siku???
Hapa kuna tatizo unamaanisha siku za hatari ni wakati ke akiwa anableed? Hii ni moja ya sababu ya mimba zisizotarajiwa. Mkuu siku za hatari ni zile ambazo mwanamke anaweza kupata mimba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…