Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Hiyo bare black tuipate wapi?
 
Katumie kitu FIESTA ulete mrejesho.. na wadada wengi hawajakunwa na hii kitu ambayo watengenezaji wanasema imetengenezwa kukidhi mahitaji ya wanawake.. ile kitu ni noma
 
Zipo madukani? Km ni nyembamba sana, hatari ya mgonjwa c mule mule?
Zipo sana, tembelea pharmacy tu utakutana nazo. Wembamba wake siyo Kwamba ndo zinaruhusu magonjwa mkuu, ni kwa ajili ya kukupa ile feel ya dry. Mikondom kama ya msd utadhani umevaa nylon!!! Huwezi feel utam wa k, na zaidi yanaishia kumuwasha tu mwanamke
 
Kk upo njema kaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…