Sasa ngono zembe ndo zp hzo hahahaaah broocondom ni kwa ajili ya kuzuia mimba ila ukimwi acha ngono zembe
condom ni kwa ajili ya kuzuia mimba ila ukimwi acha ngono zembe
Mnakula chukuchuku?[emoji85]Wengine hatutumii
Nimecheka na NB[emoji23]Hata kavu inazuia ukimwi..kikubwa zuia michubuko tu..sasa wakamia mbunye hii kitu inakua ngumu sana..sometimes bwawa ni muhimu katika kupunguza maambukizi kwa maana hakunaga michubuko ni mwendo wa kuogerea tu..
NB: tumia ndom kwa uhakika zaidi..
Ndio mpango mzima...Mnakula chukuchuku?[emoji85]
Hata vitabu vya topic moja vina editions tofautiCondom na ukimwi, ilianza kugunduliwa condom. Tafakari.