Mkuu,
Mfano wa Latex ni upi?
Na za aina gani nyingine hupatikana zaidi ya Latex?
Thanx
kina dada wapo wapi jamani mbona amchangii mada
Huenda hawatumiagi kondomu wanafanya pekupeku
Mkuu,
Mfano wa Latex ni upi?
Na za aina gani nyingine hupatikana zaidi ya Latex?
Thanx
NI kweli kuna wanawake ambao hudai aidha condom huwasababishia maumivu au wengine ndio hivyo eti wanawashwa. Kuna mmoja nilikuwa kiwanja wakati tunajiandaa kumegana kidume nikatoa condom yangu akaniambia aisee sorry mimi zinaniumiza mh! nikamuuliza so unashauri nini mama?? akaniambia tufanye tu hivi hivi..aisee ulikuwa mtihani..Unataka kujua kilichotokea???
...Teehh!! tehhh teehhhhhhh,, ungekuwa wewe ungefanyaje???!!!Enhe...endelea...
NI kweli kuna wanawake ambao hudai aidha condom huwasababishia maumivu au wengine ndio hivyo eti wanawashwa. Kuna mmoja nilikuwa kiwanja wakati tunajiandaa kumegana kidume nikatoa condom yangu akaniambia aisee sorry mimi zinaniumiza mh! nikamuuliza so unashauri nini mama?? akaniambia tufanye tu hivi hivi..aisee ulikuwa mtihani..Unataka kujua kilichotokea???
guyana...kwa hiyo unatumia au hutumii???
..Good! Tena nimekugongea kiduchu kule...you are good upstairs mazee!!Ningetimua mabio!