Kondomu jamani!

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,532
Mamboz!
Nimepata stori kutoka kwa jamaa zangu wawili tofauti kwa muda tofauti.

Mmoja anasema Girl Friend wake analalamika kua kondom inamsababishia kuwashwa sehem za siri.

Wa pili anasema Girl Friend wake anaumia watumiapo kondom.

Haya mambo huenda yakawa yanatokea kwa wengine na kwa kweli kama yakikutokea umeshakolea matokeo ni kufanya unsafe sex.
Je kwa namna hii kweli kondoms inakidhi kweli lengo lake la kuzuia maambukizi kwa population ye2 kubwa ya ki-tz dhidi ya maambukizi ya Ukimwi?

Na je wanajamvi mambo km haya yalishawahikukutokea!
Au labda unapokutana na mwanamke anakupa sababu kama hizi anakuibia, na kuna anachotafuta!
 
Kuna watu wako allergic na Latex inabidi watafute condom za aina tofauti.
 
Ni ngumu sana kuijadili hii mada kwa sisi wanaume!.........
 
Kuna watu wako allergic na Latex inabidi watafute condom za aina tofauti.

Mkuu,
Mfano wa Latex ni upi?
Na za aina gani nyingine hupatikana zaidi ya Latex?
Thanx
 
Mkuu,
Mfano wa Latex ni upi?
Na za aina gani nyingine hupatikana zaidi ya Latex?
Thanx

Asilimia kubwa ya Condom zinatengenezwa kwa kutumia Latex (rubber) e.g Salama na brand zote zengine maarufu.

Ila kuna asilimia ndogo ya watu wako allergic so kuna Non-Latex Condoms hizi zinatumia Polyurethane (plastic), bongo sijui zinapatikana wapi kusema ukweli.

condom_big_1.jpg

87_display.jpg

supra_lube1.jpg
 
ki ukweli condom zinaumiza!! unakuwa unahisi kama liplastic flani linakusugua sugua ndani!! alafu condom zinawashaa,ukiwashwa washwa kifuatacho ni fungas!!! na huko kuwasha huwezi kukusikia kipindi cha.....! ni later unahisi kuwashwa fulani!
 
NI kweli kuna wanawake ambao hudai aidha condom huwasababishia maumivu au wengine ndio hivyo eti wanawashwa. Kuna mmoja nilikuwa kiwanja wakati tunajiandaa kumegana kidume nikatoa condom yangu akaniambia aisee sorry mimi zinaniumiza mh! nikamuuliza so unashauri nini mama?? akaniambia tufanye tu hivi hivi..aisee ulikuwa mtihani..Unataka kujua kilichotokea???
 
Mkuu,
Mfano wa Latex ni upi?
Na za aina gani nyingine hupatikana zaidi ya Latex?
Thanx

Latex condoms can greatly reduce a person's risk of acquiring or transmitting sexually transmitted diseases (STDs), including HIV infection. HIV is the virus that causes AIDS.

But for condoms to provide maximum protection, they must be used consistently and correctly.

Consistent use means using a condom from start to finish every time you have sex.

Here's all you need to do

Correct use means to:

1. Use a new latex condom for each act of intercourse -- whether vaginal, anal, or oral.
2. Be careful when opening the condom. Do not use your teeth, fingernails, or other sharp objects to open the condom wrapper because you might tear the condom inside.
3. Put the condom on after the penis is erect and before any sexual contact.
4. Hold the tip of the condom and unroll the condom all the way down the erect penis--the rolled rim should be on the outside. Leave space at the tip of the condom for semen, but make sure that no air is trapped in the condom's tip.
5. If additional lubrication is needed, lubricate the outside of the condom if it is not pre-lubricated. Use only water-based lubricants. You can purchase a lubricant at any pharmacy. Your pharmacist can tell you which lubricants are water-based.

Oil-based lubricants, such as petroleum jelly, cold cream, hand lotion, cooking oil, or baby oil, weaken the condom.

6. Withdraw from your partner while the penis is still erect. Hold the condom firmly to keep it from slipping off.
7. Throw the used condom away in the trash. Never re-use a condom.
8. If the condom breaks during sex, withdraw from your partner and put on a new condom.

Always keep condoms handy, but store them in a cool, dry place that is out of direct sunlight. Do not use a condom after its expirations date or if it has been damaged in any way.

Latex condoms are available in different sizes, colors, and textures. Find the one that is right for you.
 
NI kweli kuna wanawake ambao hudai aidha condom huwasababishia maumivu au wengine ndio hivyo eti wanawashwa. Kuna mmoja nilikuwa kiwanja wakati tunajiandaa kumegana kidume nikatoa condom yangu akaniambia aisee sorry mimi zinaniumiza mh! nikamuuliza so unashauri nini mama?? akaniambia tufanye tu hivi hivi..aisee ulikuwa mtihani..Unataka kujua kilichotokea???

Enhe...endelea...
 
duh ebana eeeeh.....! demu wa 'kiwanja' hivi hivi bila kitu
 
Nimepata experience with several girls waliewahi niambia kwamba condom zinawawasha. What i discovered is that:
1. yes kuna wengine zinawawasha ndio
2. wengine wanapenda live sex coz it sweeter
3. wengine wanachelewa kukojoa
Hatari lakin.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom