Dah: Hii thread aione mtunza kumbukumbu wa Bazazi group Nicas Mtei, mwenyekiti Vin Diesel katibu KakaKiiza na mweka hazina Kaizer.
Je, ni haki kutolewa mifano kama hii?? Tabia hii aliianza Zinduna.
PM Moderator,
Mentor.
We Mentor naona hunakumbukumbu tangu escape1 umevurugwa kabisa kama Nicas Mtei ni M/kiti nakupa pole wewe unajiweka wapi mbona unaelea elea??hivi Asprin ninani vile kuu la mabazazi O mama!Kafunue vitabu vya New Genesis utazame utakuta jina la Mentor ulilolisahau na kitabu cha Old Genesis utakuta jina AsprinDah: Hii thread aione mtunza kumbukumbu wa Bazazi group Nicas Mtei, mwenyekiti Vin Diesel katibu KakaKiiza na mweka hazina Kaizer.
Je, ni haki kutolewa mifano kama hii?? Tabia hii aliianza Zinduna.
PM Moderator,
Mentor.