konda mkweli

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
leo nimekutana kwa mara ya kwa na konda wa daladala mkweli alikuwa anapiga debe hivi

konda; twende kariakoo ya kuna nafasi za kusimama ....haya wale wakuchelea kariakoo ya kuchelewa hiyo twende...kama uwezi kusimama achia ngazi....hakuna kituo cha msaada umu
 
huyo ni mkweli ila kuna mwingine juzi (ila yeye dreva wa dalala) alinifurahisha sana maana alikuwa anaendesha gari bovu huku analalamika kuwa tajiri yake hamsikiii akimwambia mafundi wanamzinguwa kwani hawatengenezi kari viruzi na tajiri anamwambia wewe (yaani suka) aongee vizuri na mafundi. Abiria mmoja mama akamwambia kwanini sasa usimwachie huyo tajiri gari kama hakusikilizi? Yule dreva alimwambia "nikililiacha tu hili gari hata kama ni bovu wewe jioni giza likishaingia hukatizi uchochoroni, hivyo bora nibangaize na hili gari bovu kuliko kwenda kupiga watu roba mtaani"
 
huyo bado sio mkweli ni yule anaekufata na kukurudishia change yako sio hadi umkumbushe.
 
Back
Top Bottom