Vile vile unaangalia na wingi wa abiria. Mfano kutoka mawasiliano mpaka bunju ni 34 km nauli ni 750. Kutoka bunju mpaka bagamoyo nauli ni 1500 lakini ni 34 km hiyo hiyo.
Teh konda angekutana na wewe nadhani angekushusha kabla ya kituo chako sio kwa ubishi huu1.ijumaa
2.alhamis
3.jumatano
4.jumanne
5.jumatatu
?
Uko vizuri kwa Ubishi mkuu.1.ijumaa
2.alhamis
3.jumatano
4.jumanne
5.jumatatu
?
Sababu route sio ile ile..