Konda: jeuri dawa yake ni kiburi

Konda: jeuri dawa yake ni kiburi

Zatara

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
716
Reaction score
511
Daladala iliondoka kariakoo kufika magomeni
konda akauliza:
kuna mtu anashuka?
Abiria mmoja akajibu:
tumeziacha nyumban labda mitandio.

Daladala ikawa inakaribia maziwa, yule abiria alosema wameacha nyumbani,akawa ana shuka hapo
akasema:
konda nashuka maziwa!: konda akamjibu:
itabidi urudi kariakoo ukanunue sidiria!
 
kwani sidiria zinauzwa Kariakoo tu?
Nalog off

Simply because Daladala ilianzia Kariakoo. Kwa kuongezea hii ni page ya Utani Mkuu, huhitaji kuwa great thinker na kusoma katikati ya mistari katika jukwaa hili. Tumia hizi nguvu kwenye jukwaa lingine. Ni ushauri tu ,hutaki unaacha
 
sasa kama utani ndio usifanane na ukweli? nachojua mie utani wote unaendana na ukweli,kwa mfano mimi ni mshabiki wa Simba,tulipotolewa na libolo ya Angola kuna mtu alisema kwenye kikatuni chake ya kwamba Simba kalishindwa lile Libolo kwa kuwa ni kubwa kwake mie ikanibidi nicheke kwa kuwa hiki ni kichekesho live bila changa,au endelea kutafuta ujionee mwenyewe humu mbona vichekesho vipo vya kumwaga.Halafu mie sijatumia nguvu hapo kaka.
Ushauri wangu wa bure kwako ndugu,vichekesho LAZIMA vifanane na ukweli.

How old are you bro? Nauliza tu.
Unatumia nguvu nyingi kwa issue ndogo. Kumbuka fun for you is not for others, and viceversa

By the way, hilo LIBOLO ulilochezea linaweza isiwe fun kwa wengine ambao hawana mzuka na football
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom