Kona ya wapi hii?

Huko n umasaini...maana kunapunda hatareeee
 
Nahisi Shinyanga, Mwanza, Bunda, Manyara au Kiteto. Zaidi ya hapo kapa.
 
Mshana tuombe msamaha. Unatuletea ya nchi ambayo hata wengine tulishasahau ilipo kwenye ramani? Sisi tulidhani unatupa mtihani wa tulikozoea. Ha haha umesharudi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] my apology niah bado mpaka Jumapili vp Bk
 
Nimesoma hizi comments zote bado sijapata jibu ni wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…