Kona ya wapi hii?

dah mkuu tutake radhi tafadhali...!!!! Gambia!??? ulitarajia tupate..si unge-narrow down aisee...usirudie tena siku nyingine.
 
Hapo itakuwa ni tofauti na hapa

manake hapa tunakunywa za machicha
na pale hatunywi za machicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…