Sawa nnevakedhija,nekitie tuman je Chathu.Ethina mburi, shigha nikuvwire. ..... Same haaiiii himanya. Wakedhije wajomba huko.
Wakaribishe kijo japo nkadori.
Lugha gongana kweli kweli mshana jr okoa jahazi looh hehehee.
Kasie.
Sawa nnevakedhija,nekitie tuman je Chathu.
Ayaaa bibi kashalala ndio alikua ananitafsiria na kuniambia majibu!!Iyee namanya chathuu, haii wewe ni mwathuu?
Ayaaa bibi kashalala ndio alikua ananitafsiria na kuniambia majibu!!
Kwa wajomba huko.
Ila nimekuelewa umesema "ndio najua kipare,wewe ni mpare"?
Nachukia watu wanaiponda same nzima sababu wamepita tu na basi wakajua pare yote ni kame vile kumbe kuna paradiso huko juu.
HAPA UNAMKUSUDIA NINI Mshana Jrwatu ambao hawajawahi kusafiri bana
yaani unapiga picha barabara uliyopita afu unauliza wapi hapo? mbona kona kama hizo ziko nyingi? na madhari za nyumba zinabadilika mara kwa mara kulingana na wakati ??
wanasema akijamba huwa anaishiwa nguvu,so huwa anasokomezwa matambara matakoni mpka wafike ndo yanatolewa,ni ukatili sanaMnyama Punda anapata taabu sana, basi tuu