Komredi Polepole: Rais anapoingia Madarakani hawezi kutengeneza Katiba Mpya hadi atakapokaribia kustaafu ndio anaweza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,988
Haya maneno alishasema Balozi Polepole kwenye Shule ya Uongozi

Hivyo miaka 3 ya Elimu mwa Umma, miaka 2 ya mchakato va kukusanya maoni ya Wananchi na mwaka 1 wa Bunge la Katiba basi tutegemee kuipata Katiba Mpya mwishoni mwa mwaka 2029

Ahsanteni sana 😄😄
 
"Iwapo uchaguzi utakuwa HURU na HAKI basi CCM ijiandae kukabidhi Dola" hayo aliyesema huyo huyo Aljununu.
 
Kazi kwelikweli!
Na bado! Itafika mahali wote tutaimba wimbo mmoja. Si tulimuona 'yule' mbaya!

 
Kuhusu suala la katiba mpya, mimi nadhani TEC ni miongoni mwa taasisi zinazopaswa kulaumiwa kutokana na sababu zifuatazo.
TEC ni taasisi yenye nguvu ya kifedha, ya kitaasisi, wafuasi, kiroho na ushawishi wa kimataifa ie VATICAN lakini kwenye suala la katiba wameshindwa kutoa waraka hata mmoja na kuusoma kwa wafuasi makanisani au tuseme hawajui kua wafuasi wao wanateseka na suala hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom