rusesa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 538 Reaction score 234 Apr 3, 2018 #1 Naomba tujulishane namna ya kudhibiti wawangaji, maana wanasumbua kweli kweli. Karibuni.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Apr 3, 2018 #2 Mshana Jr upite huku
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,458 Reaction score 3,586 Apr 3, 2018 #3 Sali sana au kuwa mwanga zaidi yao
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Apr 3, 2018 #4 Panda kwenye mkeka, ulalie bajaj
Turnoff JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 764 Reaction score 913 Apr 3, 2018 #5 Umejuaje kama wanakusumbua?usilale bila maombi/dua,hakuna njia zaidi ya hiyo
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Apr 3, 2018 #6 yalimo said: Naomba tujulishane namna ya kudhibiti wawangaji, maana wanasumbua kweli kweli. Karibuni. Click to expand... ukishatudhibiti halafu?
yalimo said: Naomba tujulishane namna ya kudhibiti wawangaji, maana wanasumbua kweli kweli. Karibuni. Click to expand... ukishatudhibiti halafu?