Mkuu yani acha tu hii kitu Inahuzunisha sana watoto wanabebeshwa masinia mkubwa ya matunda.
Btw nini ulikiona huko mkuu
Dah hapa tuna tatizo kubwa sana mkuu,,. Serikali yetu mpaka maaafa yatokee ndio ifuatilie jambo.Nilifanya salasala .....watoto wadogo wanagonga mawe ....mpaka kisadolini kijae wanapata ujira wa shilingi 200 kwa kila kisadolini. Sasa imagine 200 itasaidia nn na atajaza Sadolini ngp. Kwa hyo ni tatizo