Kombe Limeenda Simba, Fedha Zimeenda Yanga?

Kombe....!.

kumchapa Yanga ni zaidi ya vyote, nakumbuka kuna wakati Manji alitoa milioni hamsini (50m) kwa ajili ya Kamati ya Ufundi ILIHALI ZAWADI YA UBINGWA NI m 40 za VODACOM
 
Yanga wajanja sana, yaani baada ya kujua tunapata ela yakutosha wakaona hamna haja ya Jasho jingi.
 
Mlienda uwanjani mikono nyuma,maomba hata draw sasa mmeuona mwezi hatusemi!...

Haya sisi tunawasubiri kwenye ligi tu,kawekeni kikombe kabatini,sisi tupo hapa Makumbusho Simba Kapakatwa Pub

tunapiga moja baridi moja moto kwa raha zetu na mihela mfukoni.

Yanga wengi ni walevi ndio maana wanazimia ovyo uwanjani
 


Simba imeonyesha ilivyo na mapenzi na "mtoto" Yanga. Kampa "bao " tatu safi na amesuuzika roho yake.
 

Hapo umesema neno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…