Kombe la kagame 'Darfur'timu za Sudan zajiondoa 'MUSONYE na TFF' lao moja!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Kufuatia hali ya sintofahamu kuhusu ushiriki wa vilabu vya Tanzania katika kombe la kagame Darfur,imethibitika kwamba timu za 'El Merrekh na Al Hilal'zimejitoa kwenye michuano hiyo muda murefu kwa kuhofia usalama wao.

Chanzo cha habari kimesema kwamba zile timu zilizo kwenye ratiba(MARREIK-ELFASHER na AL-HILAL KADUUGLE)sio EL-MERREKH NA AL HILAL halisi na hazipo kwenye ligi ya sudan na badala yake ni janja ya MUSONYE ya kutafuta timu zenye majina yenye mvuto ili kuwafumba wadhamini na TFF wanalijua hilo,chanzo cha habari kinasema kwamba timu iliyo kwenye ligi kuu ni Al nasir pekee na inatoka sudani kusini ambako ligi yao ni dhaifu.

YANGA:
Yanga walishaandika barua muda murefu ili kupata uhakika wa usalama wao,cha ajabu TFF ikawapa majibu rahisi kwamba cecafa kupia'MUSONYE'imewahakikishia kwamba Simba na Yanga waache siasa maana Darfur usalama upo wa kutosha.

SERIKALI:
Serikali kupitia waziri wake husika imemjinu MUSONYE na kumwambia kwamba cecafa haina dora,vipi waseme kuna usalama?

My TAKE:
Serikali iichunguze TFF maana naona kama inanya kazi kwa masirahi ya matumbo yao.
 
Yanga na Simba jitoeni, msije kutuletea misiba tunayoweza kuiepuka mapema tu. afadhari kufungiwa kuliko kukumbana na hayo majanga!
 
Back
Top Bottom