Kombe la challenge 2011 live

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Shirika la Utangazaji nchini TBC imerejea katika maonyesho ya soka na kwa kuanzia wataanza na Challenge Tusker Cup inayoanza kutimua vumbi hapo kesho katika uwanja wa Taifa.


Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na matandao wa Aboodmsuni katika kundi la KANDANDA ndani ya Facebook, ambapo moja ya watu wa TBC Chacha Maginga ameweka posti inayosema, "HABARI WANASPOTI WOTE KAMA KAWAIDA TBC ITAKUWA NANYI KUWAPA RAHA KEDEKEDE KUANZIA KESHO KATIKA MATANGAZO YA CHALLENGE CUP TV NA RADIO LIVE SIKU ZOTE TBC IKO MBELE KUWAJALI WATANZANIA KIOO CHA JAMII KARIBUNI."


Baada ya Kocha Marcio Maximo kuikacha timu ya Taifa ya Tanzania, ndio ikawa mwisho wa TBC kurusha matangazo ya Soka la Bongo kwenye luninga, hapo mwezi julai mwaka jana.

​ original post by http://aboodmsuni.blogspot.com
 
Niliuwa na cheki KBC ile saa nane walikuwa wanaonesha LIVE Somalia Na Burundi
 
tutumie nafasi hii kutoa na kupokea taarifa mbalimbali juu ya kinachoendelea uwanjani kuhusiana na Cecafa Tusker Challenge Cup 2011.
 
Game ya Zanzibar na BURUNDI inaendelea... So far hawajafungana!
 
Ah,tanganyika na zanzibar ni vichwa vya wendawazimu.burund wanacheza vizuri so far.goli 0-0. Nashndwa kuwambia ni dk ya ngapi kwani kwenye screen awaonyeshi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom