mzizi dawa
Senior Member
- Mar 1, 2012
- 118
- 12
Mkapa ali mfaamisha mapema,sababu alifamu muda wowote atakufa.
Komba ni msanii na ukiwa msanii unatakiwa kuwa mbunifu, mbona inasemekana keshatunga nyimbo za waheshimiwa wote wanaougua bado uzinduzi tu!
Mkapa ali mfaamisha mapema,sababu alifamu muda wowote atakufa.
kumbe siku hizi watoto wengi jf 99 ulikuwa shuleni unakunywa uji?? I think la tatu au la nnenakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).
Mzee apson hakuumuua jkn kafanye vizuri homework yakojibu ni easy tu kwamba..alishaambiwa na mkuu wa kaya wa wakat huo ndugu Ben, atunge nyimbo za baba wa taifa wakati Apson Mwang'onda na tiss yake wakikamilisha kifo cha jkn.
Mbona lil wayne nyimbo anatunga nusu saahujui mambo ya muziki kaa kimya...nyimbo gani unaweza kutunga masaa 4??
kwani inachukua muda gani kutunga wimbo? kwa mtunzi wa ukweli masaa 4 yanatosha kabisa mbona kuna wasanii wa ubongo wa fuleva huwa wanatungia nyimbo studio na kurecord siku hiyo hiyo
Mbona Bob Marley keshatunga nyimbo za kumuombolezea Mandela? Acheni umbeya wenu nyie.....
kufa tutakufa ila ni binadam gani mwenye uwezo wa kutabiri kifo cha mtu na kuanza kumtungia nyimbo?ccm ni watu hatari katika taifa hili mdogo wangu.wametuulia bb yetu wa taifa hawa makila,wametuulia watu wengi sana wazalendo,kama hawa walio vitandani leo kwa kulishwa sumu.
hivi wewe mama kuna muda huwa unavuta bhange?!
Mzee apson hakuumuua jkn kafanye vizuri homework yako
nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne pale shuleni, tulikuwa tunajiandaa kwenda kunywa uji. mara tukatangaziwa baba wa taifa ameaga dunia. Hapo hapo tukaanza kusikia nyimbo za komba. Alikuwa ameshatoa album. je hiyo album aliitunga mda gani na alijuaje atakufa? kama wimbo wa haraka kukamilika unachukua hata wiki tatu je album itachukua mda gani? Naomba Komba unifafanulie. Hasa naomba ule wimbo uliobeba jina la album.(taifa lahuzunika pamoja twasema kwaheli..kwaheri baba..mwalimu nyerere).

Hivi wewe mama kuna muda huwa unavuta bhange?!