Nyimbo za maombolezo ya Mwalimu Nyerere za TOT

Nyimbo za maombolezo ya Mwalimu Nyerere za TOT

satellite

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
616
Reaction score
170
Wadau naomba msaada wa kupata nyimbo za maombolezo ya kifo cha nyerere zilizoimbwa na TOT kwaya pia wimbo wa mgeni mgeni wa TOT kwaya.
 
Pole Sana nadhani zinauzwa sio Free
 
[video]https://www.facebook.com/video.php?v=789107507793168[/video]
 
Nashukuru Sana malelo. Vipi nyimbo nyingine za TOT kama 'ninalinga mimi kua mtanzania' nk?
 
Nyimbo za siku hizi kwa ajili ya maombolezo zinazotungwa na kuimbwa na watoga pua na masikio ni kero tupu, yaani zinakera sana, yaani totaly hawajui ni vyema wabaki wanaimba za mapenzi tu, za maombolezo na uzalendo wawaachie TOT, TOT kongole kwenu!
 
huwezi kutofautisha nyimbo za msiba na kampeni. Kongole TOT
 
Back
Top Bottom