Oktoba 14: Tumuenzi mwl nyerere: Lete mistari ya nyimbo za kizalendo za zamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oktoba 14: Tumuenzi mwl nyerere: Lete mistari ya nyimbo za kizalendo za zamani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by minda, Oct 8, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wakuu,
  oktoba 14, inakaribia na tunatimiza miaka 11 tangu kufariki kwa baba wa taifa.
  kama sehemu ya kumuenzi, naombeni mlete lyrics za nyimbo za kizalendo na za kimapinduzi, zilizo/zinazosisitiza amali za uzalendo, upendo, mshikamano, utaifa, maslahi ya taifa, ukakamavu nk

  kwa kuanzia, nawaleteeni wimbo ule maarufu wa mchakamchaka:

  [​IMG]


  naomba kuwasilisha.
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  NIKO KILIMANI NARANDA(karibu na uchaguzi)..NANGOJEA PIJO(chadema) KUPANDA...MWL. NYERERE KASEMA, VIJANA FUNGENI MIKANDA( tusiogope mafisadi-thithiemu)...eeeeh eeeeh narandaa...nangojea pijo kupanda!

  Wadau pijo hiyooo inakuja(chadema)...kazi kwetu sasa kupanda!
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  SISI SOTE TWAKUKUMBUKA BAABA! KWAKAZI KUBWA ULIYO IFANYA BAABA!

  People are like stained-glass windows. They sparkle and shine when the sun is out, but when the darkness sets in, their true beauty is revealed only if there is a light from within.
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  WIMBO: NIDHAMU YA KAZI
  BENDI: NUTA JAZZ (sasa ikijulikana kama msondo ngoma)

  Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio mema nchini

  Viongozi na wafanyakazi lazima tuwe na nidhamuuu

  Migogorooo na miginganoooo makazini ni ukosefu wa nidhamuuu

  Viongozi pia wajibu wenu mkubwaaa, ni kulinda nidhamu ya kazi.
   
 5. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bomu limeshapasuka, mabepari wanahangaika, walanguzi wanatapatapa aaaaaahh~~~
  wahujumu nao wako ndanieeeeeeeeeeeeeeeeee!!
  Nikilala nikiamkaaa sabuni haionekani,
  nikilala nikiamkaaaaaaah sukari haionekaniii
  Kumbe sababu ya walanguzieeeeeeeeeeeeeeeeeeee>>>>>>>>>>>>
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 7. minda

  minda JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tunaambiwa kwamba gaddaffi (afisa wa iddi amin dada) alikasirika sana kwa kitendo cha nyerere kupigiwa makofi kufuatia kumtwanga iddi amin katika vita vya kagera. wimbo huu ni maarufu sana mkoani dodoma:  naomba kuwasilisha!!!
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ...baba umetenganaa na sisiii ...huzuniii zatujaaa...woteee machooziii yadondokaa aaahh kama matonee ya mvuuaaa!! (nyimbo baada ya kufariki)
   
 9. minda

  minda JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  [​IMG]
   
 10. minda

  minda JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wimbo huu una mahadhi ya kichaga na ulitumika enzi hizo 'kwa mujibu wa sheria' ya jkt ulipokuwa active miaka ya 1990s; ila wakuu mnaokijua kichaga mtanisamehe endapo maneno yatakayotumika situkuwa nimeya'tamka' ipasavyo:

  [​IMG]
   
 11. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  u
  kabila,udini kavitokomeza mwalimu
  ooh baba nyerere daima tutasonga mbele
  ooh baba nyerere kurudi nyuma ni mwiko
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  imenikumbusha mbali hii!!
   
 13. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uwezo wa kumpiga (Amin) tunao, nia ya kumpiga tunayo, sababu za kumpiga tunazo.

  sasa naigeuza;
  Uwezo wa kuiondoa CCM tunao, nia ya kuiondoatunayo, sababu za kutowapigia kura 31/10/2010 tunazo.

  Nawakilisha!
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kuna wimbo mmoja umepigwa na bendi fulani wimbo unaitwa 'tanzania yetu'


  [​IMG]
   
 15. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tusiishie Oktoba 14 tufanye kweli na Oktoba 31, ili tupate rais asiye na pressure za familia na marafiki.
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  nawasilisha!!!
   
 17. minda

  minda JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nukuu ya kunukulika:

  "In Tanganyika we believe that only evil, Godless men would make the color of a man's skin the criteria for granting him civil rights."


  Julius Kambarage Nyerere addressing British Governor-General Richard Gordon Turnbull, at a meeting of the Legco, prior to taking up the premiership in 1960.
   
 18. minda

  minda JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  "We, in Africa, have no more need of being 'converted' to socialism than we have of being 'taught' democracy. Both are rooted in our past -- in the traditional society which produced us."


  Julius Kambarage Nyerere, from his book Uhuru na Umoja (Freedom and Unity): Essays on Socialism, 1967.
   
 19. minda

  minda JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  "In Tanzania, it was more than one hundred tribal units which lost their freedom; it was one nation that regained it."


  Julius Kambarage Nyerere, from his Stability and Change in Africa speech given to the University of Toronto, Canada, 2 October 1969.
   
 20. minda

  minda JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimesoma post nyingine leo hii kwenye jukwaa hili linasema kwamba siku ya nyerere imekuwa mbumbumbu.
  kama hizo habari ni kweli, sababu inaweza kuwa nini?
   
Loading...