Komba ndani ya monduli,muda huu.

Komba ndani ya monduli,muda huu.

mzizi dawa

Senior Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
118
Reaction score
12
Abari zakuaminika toka mtoa abari wangu,kwamba aijafaamika bado kua MUESHIMIWA KOMBA amefuata nini kwa mbunge wa Monduli,MUESHIMIWA KOMBA ameonekana akiwa na usafiri wa gari aina ya Costa,akiwa yeye na derevatu,akiulizia kwa mbunge wa monduli.makamanda mlio neru tuwe makini na uyu mtu pia abari ziwafikie maafisa watakukuru sababu aiwezekani komba asafiri na costa,izo nimbinu zakupoteza maafisa watakukuru malengo.
 
Hivi bado yupo Arumeru, mimi nilidhani wameshakata tamaa wakarudi.
 
Ameenda kutafuta Vibwagizo vya kuimba Arumeru kwa EL kama CCM kitashinda.
 
Ameenda kutafuta Vibwagizo vya kuimba Arumeru kwa EL kama CCM kitashinda.
heh heh umenidhekesha sana na vibwagizo vyenyewe ni ''mamvi nambari wani wee'' halafu anasinzia kidogo akiamuka ''mamvi presidaa ajae'' anasinzia tena
 
Back
Top Bottom