Komba Bungeni

Hajui kua chupi yake akimpa mtoto mdogo itakua shuka! samahan ila wanaudhi.
 
hiyo ni track mpya itaimbwa Igunga! komba hana jipya mwache alale..
 
Jamani komba ni mnyama anayekuwa active usiku, tusimshangae sana huyo alieko bungeni alikuwa anaota tu.Ndio muda wake wa kulala aliyemuamsha ndio kakosea.
 
Wa magamba ndo point zao sijui wabunge type ya komba kwa nn wapo bungeni ni misifa kwa wanamagamba wana idadi kubwa ya wabunge lakini wamejaa pumba tu
 
Hivi Komba ni jina binadamu(human being) au la mnyama? Haya wazee wa ndezi kazi kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…