Mwotaji aisee! huu ni msiba kuwa na wabunge wengi darasa la saba uwezo wa kufikiri mdogo mnooo!achilia mbali kachaguliwa na wananchi hana uwezo wa kujenga hoja za nguvu na kuzitetea,hebu angalia huyu mwimbaji wa kwaya anapolala na kuamka na barabara za lami kenya na uganda ipo siku ukombozi unakuja tutaja pata bunge la vijana vichwa hawa mazezeta watarudi kuimba kwaya hadi wanapoingia kaburini.