Komba afukuzwe nae. Tazama hii.

mbona mmekazia kuwatoa polis na komba tu machemli mnamwacha wapi?
 
afukuzwe wapi??
chura hawezi kufukuzwa kwa kosa la kuogelea kwenye maji, hicho anachokifanya ndio jadi kuu ya ccm.
 
Hapa sioni mutual attitude, consensus wala reciprocation . Ninanachokiona ni kwamba komba anaashiria kubaka tu!.
 
awe na mpira halfu kabaki yeye na minguzo tu bila golikipa ....hawezi fungaaaa...bisha uone,,...
 
sera ya ccm ni kubanjuana kwenye mikutano yao na mikesha ya mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…