Komando Yoso na Jenerali Nyau wako wapi?

kuna mmoja wao alilkuwa anaitwa Tostao,clasmate mabibo p/s!jamaa alikuwa na roho mbaya sana,lakini aliuawa kama sikosei!walipiga sana watu bisibisi za kwapa bonde la mchicha mabibo,lol

Umenikumbusha yule dogo Tostao...Alisilimisha sana watu ktk Bonde la mchicha na ule uwanja wa sahara....Unawakumbuka Mwinshehe na Chande licha ya kuwa wanasoka wazuri pia walikuwa ktk Group hili?
 
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....

Dah!!!!!! umekumbusha mbali sana, Komando Yosso. Hiki kikundi nature yake ilikuwa ni wizi na fujo tuu mitaani.
 
Umenikumbusha yule dogo Tostao...Alisilimisha sana watu ktk Bonde la mchicha na ule uwanja wa sahara....Unawakumbuka Mwinshehe na Chande licha ya kuwa wanasoka wazuri pia walikuwa ktk Group hili?

yah,wote hapo!kweli bana hata Tostao alikuwa anapiga soka mbaya na guu lake la kushoto!!dah,kumbukumbu za zamani sana hizi
 
nakumbuka nilikuwa mdogo enzi hizo.lilikuwa kundi hatari sana by that time.inasemekana waasi ndani ya magamba ndo walikuwa wanalisapoti kundi hili.
 
Kiboko Msheli walikuwa wanatamba maeneo ya Magomeni Makuti,Kondoa. Lakini Mapipa kulikuwa na wababe kama Migea, Kwaza, Beka joe, na wengineo. Ilikuwa hatari kukutana nao enzi hizo. Wengi wameshakufa
 
Na kikundi kingine kiliitwa Seven Komando...
Nakumbuka niliwahi kuhusishwa kuwa ni mmoja wao hadi pale nilipotoa maelezo ya kina na kufanikiwa kuwashawishi polisi na kujisafisha.

Gang Chomba katoka mbali jama dah

Mkuu gang chomba,nikiwa ni mtu mwenye uzoefu na mambo hayo...naweza kusema kuwa misimamo yako na tabia zako na jina lako na jinsi ulivyokua unavaa ilikua ni rahisi mno kuwashawishi watu kuwa u mmoja wao
 
Umenikumbusha yule dogo Tostao...Alisilimisha sana watu ktk Bonde la mchicha na ule uwanja wa sahara....Unawakumbuka Mwinshehe na Chande licha ya kuwa wanasoka wazuri pia walikuwa ktk Group hili?

Huyu chande nadhani niliwahi kukutana nae gerezani ruanda kule mbeya miaka ya tisini mwishoni ila si alishakufa?
 
Hawa komando yosso walikuwa wakikuvamia nyumbani kwako wanasafisha kila kinachobebeka,kwani walikuwa wanakuja kundi la watu kama 10 au 15

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hawa komando yosso walikuwa wakikuvamia nyumbani kwako wanasafisha kila kinachobebeka,kwani walikuwa wanakuja kundi la watu kama 10 au 15

Sent from my iPhone using JamiiForums app

na hiwe lao almaarufu Fatuma kwa ajili ya kuvunjia milango.mmoja wao Sina kwa sasa ni fundi nguo shekilango. vp wazee wa NAKOZI camp mabibo makutano,nao wamesumbua hadi kudedisha mtu
 
Back
Top Bottom