Komando wa kike Jeshini

Kati ya hawa ni makamando wa kike; Major Philippa Joan Angel Tattersall Royal Marines Commando, Dr. Seema Rao is India's first woman commando trainer, having trained Indian Special forces for 18 years without compensation
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
 
Tukiwa tunajiandaa kuangalia maonyesho mbalimbali ya majeshi yetu na mbwembwe na ukakamavu wa makomando wetu ktk sherehe za Muungano unapotimiza miaka 50 mwaka huu.
Hivi huko jeshini wapo Makomando wa kike wanaoruka na kuvunja matofali kama wale wakiume?

1d6528f6-7486-407a-aa38-6a86f934e47eHiRes.JPG
 
Sijui nimekalili vibaya, hivi hawa warembo hawakuwa makomando kweli? Maana mwenzenu nimemezeshwa kuwa kila mjeda anayevaa kofia nyekundu ni komandoo sijui ni kweli?

Interesting-fac549.jpg

0.jpg
 
Kwahapa Tanzania wanaovaa red beret ni Military Police(MP).
Comandoo wa Tz wanavaa Marun beret(damu ya mzee).
 
hayo ni mafunzo ya awali jeshini so kila mwanajeshi anapitia. nakumbuka nilipokuwa nafika siku ya kwanza nilitamani sana kuwa comandoo ila baada ya kuhitimu na kuanza mafunzo nilifeli mwezi wa pili wa mafunzo na kupata hitirafu kwny mguu wa kushoto. hakuna komandoo wa kike(taarifa toka vyuo vya kijeshi mwaka 2013) lkn cjui jana na juzi wenda wamepatikana wanajamii. Luteni usu Edward
 
6.JPG
Angalia vizuri kofia zao mkuu. nataka kukwambia tu kuwa kofia za makomandoo sio nyekundu kama ma MP(Military Police)
 
Tukiwa tunajiandaa kuangalia maonyesho mbalimbali ya majeshi yetu na mbwembwe na ukakamavu wa makomando wetu ktk sherehe za Muungano unapotimiza miaka 50 mwaka huu.
Hivi huko jeshini wapo Makomando wa kike wanaoruka na kuvunja matofali kama wale wakiume?

Mimi niwauliza live bila chenga kwenye maonesho ya 7,7 mwaka jana walisema hakuna komando wa kike hii ni kutokana na maumbile yao.
 
Back
Top Bottom