..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
jeshi la vinegaNi wa Jeshi gani huyo ?
Ni wa Jeshi gani huyo ?
Sijui nimekalili vibaya, hivi hawa warembo hawakuwa makomando kweli? Maana mwenzenu nimemezeshwa kuwa kila mjeda anayevaa kofia nyekundu ni komandoo sijui ni kweli?
husiwe mwepesi kukanusha kitu hasa hasa kama hukijui na huna uhakika nacho. yangu ni hayo tu.
Hamza kalala.
"hongera"..nina uhakika 100%.
Tukiwa tunajiandaa kuangalia maonyesho mbalimbali ya majeshi yetu na mbwembwe na ukakamavu wa makomando wetu ktk sherehe za Muungano unapotimiza miaka 50 mwaka huu.
Hivi huko jeshini wapo Makomando wa kike wanaoruka na kuvunja matofali kama wale wakiume?