Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
na ww nahisi utakua mmoja wapo na supermaketKwa kweli ni utafutaj, halafu huwa unalipa sana
na ww nahisi utakua mmoja wapo na supermaketKwa kweli ni utafutaj, halafu huwa unalipa sana
na ww pia marioo [emoji30][emoji30]shuga mamii mimi nataka hela sio kulea wanaumeHahahaa
Hili ndio naliskia saa hizi
Utanifanya niingie kwenye mawindo sasa hivi
[emoji28][emoji28][emoji28]Upande hauonekani mkuu.
Wao wanajali pesa tu. Bado navuta picha huyo dada hapo kwenye picha nimfananishe na nani humu Jf[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
HahahahhhhMSIONGEE UPANDE MMOJA TU HUKU,KUNA TATIZO PIA UPANDE MWINGINE,View attachment 420385
NdioooNdio mimi mario
Vipi na wewe ni shuga mami[emoji1] [emoji23]
Hahahana ww pia marioo [emoji30][emoji30]shuga mamii mimi nataka hela sio kulea wanaume
sitaki huo wa kutoa hela mm wangu wa kupewa helaHahaha
Aaah! Sugar mammy gan huyo ataka hela!!
Sugar mammy atoa hela, ntakufundsha usugar mammy wa kutoa hela usjal
na ww pia marioo [emoji30][emoji30]shuga mamii mimi nataka hela sio kulea wanaume
Wimbi la vijana wa kileo la kutaka kulelewa na mijimama inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana, sijui niseme ni kutokupenda kujiweka bize au vipi. Baadhi ya vijana wanaishia kushinda kwenye vioo kujipodoa sana ili wawavutie mashuga mami, wanaazima nguo, ili tuu wapendeze na ukiwakuta wanavyojisifia utadhani kweli ni wanaume kumbe ni msingi kiuno.
Wanajisifu kwa Congo dust eti wanapiga mzigo kisawasawa kumbe nguvu zenyewe za kiume za kuboost. Hivi inakuaje siku hizi vijana nao wanabana pua? Aisee tusipokua makini tutapoteza nguvu kazi ya vijana hawataki kujituma kutafuta pesa, niwakumbushe tuu sifa ya mwanaume kujituma. Acheni kubana pua na kutegemea kulelewa mjini na mashuga mamii, mwanaume anajisifia kuhonga siyo kujisifia kuhongwa.
Du noma,hahahhaYaan we acha tu, ndio maana sina mpango na vijana. Vya kugombania dressing table asb ht sivitaki. Unakuta mwanaume anajiremba kuliko ht mwanamke mxeeeiiiw.