Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,590
ha ha haNa hili wimbi la wadada kuweka profile picture za wadada wengine walioumbika wakati wao wana sura za baba zao sijui litaisha lini mana naona limeshika kasi sana e.g aliyeleta hii thread, unakuta mdada anatamani sura na umbo zuri la mdada mwingine.