Komando Jide hakukosea kuimba, kuna wanaume kama mabinti

cristela

Senior Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
138
Reaction score
297
Wimbi la vijana wa kileo la kutaka kulelewa na mijimama inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana, sijui niseme ni kutokupenda kujiweka bize au vipi. Baadhi ya vijana wanaishia kushinda kwenye vioo kujipodoa sana ili wawavutie mashuga mami, wanaazima nguo, ili tuu wapendeze na ukiwakuta wanavyojisifia utadhani kweli ni wanaume kumbe ni msingi kiuno.

Wanajisifu kwa Congo dust eti wanapiga mzigo kisawasawa kumbe nguvu zenyewe za kiume za kuboost. Hivi inakuaje siku hizi vijana nao wanabana pua? Aisee tusipokua makini tutapoteza nguvu kazi ya vijana hawataki kujituma kutafuta pesa, niwakumbushe tuu sifa ya mwanaume kujituma. Acheni kubana pua na kutegemea kulelewa mjini na mashuga mamii, mwanaume anajisifia kuhonga siyo kujisifia kuhongwa.
 
obama-makeup.jpg
 
Hasa wanaume wa Dar wamepotoka wengi, yaani Dar ni kama BABELI, halafu wa mikoani nao wanaiga kupitia Television, filamu au pengine waliwahi kuishi Dar.
 
Waache mashuga mami wapate furaha na wao, pesa wanazo lakini upendo na mapenzi wanakosa. Kwanza mtoto wa kiume kukamua mzigo mkubwa ni ushababi wengi hawawezi, Ngoja nikapige pushapu nielekee gym kuongeza six pack kwanza
Aisaee, Wewe Acha bhana, Wewe gentleman.... hizo siyo zako!! japo cristela ametoa ya kweli...
 
Yaan we acha tu, ndio maana sina mpango na vijana. Vya kugombania dressing table asb ht sivitaki. Unakuta mwanaume anajiremba kuliko ht mwanamke mxeeeiiiw.
 
Wimbi la vijana wa kileo la kutaka kulelewa na mijimama inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana, sijui niseme ni kutokupenda kujiweka bize au vipi. Baadhi ya vijana wanaishia kushinda kwenye vioo kujipodoa sana ili wawavutie mashuga mami, wanaazima nguo, ili tuu wapendeze na ukiwakuta wanavyojisifia utadhani kweli ni wanaume kumbe ni msingi kiuno.

Wanajisifu kwa Congo dust eti wanapiga mzigo kisawasawa kumbe nguvu zenyewe za kiume za kuboost. Hivi inakuaje siku hizi vijana nao wanabana pua? Aisee tusipokua makini tutapoteza nguvu kazi ya vijana hawataki kujituma kutafuta pesa, niwakumbushe tuu sifa ya mwanaume kujituma. Acheni kubana pua na kutegemea kulelewa mjini na mashuga mamii, mwanaume anajisifia kuhonga siyo kujisifia kuhongwa.
Na hili wimbi la wadada kuweka profile picture za wadada wengine walioumbika wakati wao wana sura za baba zao sijui litaisha lini mana naona limeshika kasi sana e.g aliyeleta hii thread, unakuta mdada anatamani sura na umbo zuri la mdada mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom