kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Mkuu samahani hiyo simu yako ni aina gani?Huko Tanganyika packers ndo karibu na KIBITI au?
Tombatomba idevice Model TH 45
uMkuu unazungumzia nini? Huku Nanjilinji hatuelewi hicho unachokusudia.
Hii signature si mchezo aisee...Tombatomba idevice Model TH 45
Mkuu huu niliagiza kutoka malaysia mkuu,android 5.0,Camera ya nyuma MP 13,ya mbele MP 5,screen nchi 5 mkuu.Umeipenda boss?Mkuu samahani hiyo simu yako ni aina gani?
Hahah aina ya simu tu mkuu.Hii signature si mchezo aisee...
Hapana iyo siwezi kutumia inaonekana ina gharama zake,ila hii simu aipo kwenye orodha za tcraMkuu huu niliagiza kutoka malaysia mkuu,android 5.0,Camera ya nyuma MP 13,ya mbele MP 5,screen nchi 5 mkuu.Umeipenda boss?
Tombatomba idevice Model TH 45
Soon itakua kwa list mkuu.Hapana iyo siwezi kutumia inaonekana ina gharama zake,ila hii simu aipo kwenye orodha za tcra
Simu yake ni ya kijapan mkuu usishangaeMkuu samahani hiyo simu yako ni aina gani?
Watu ni nyomi ....