Ila lile sharti la kunipa vitz halihusiani na cleavage, manake shurti yapumue kidogo jamani!
Catwalk tunafanya lini?
Nywele hazimati mme ni muislam mke sio muislam ndo maana kawaonyesha nywele hizo King'astiKinachotakiwa ni asionyeshe nywele zake, labda hizo za bandia ndo kilemba with style,lol! Labda kama akioga hakoshi nywele (mwl zomba msaada tafadhali) Well, afadhali nywele kuliko cleavage bana! Men don't stare at the head (tunajilegezea masharti hahaha)
Kinachotakiwa ni asionyeshe nywele zake, labda hizo za bandia ndo kilemba with style,lol! Labda kama akioga hakoshi nywele (mwl zomba msaada tafadhali)
Well, afadhali nywele kuliko cleavage bana! Men don't stare at the head (tunajilegezea masharti hahaha)
Nywele hazimati mme ni muislam mke sio muislam ndo maana kawaonyesha nywele hizo King'asti
Nimefurahi hajaoa mzungu.................
She must be muslim for the marriage to take place in Mosque, otherwise its grave mistake. Kolo Toure off the market - SuperSport - Football
Kwa kurukia hiyo link hapo, utagundua jamaa ana wana-haramu wawili (kwa mujibu wa dini yake) kwa hiyo wakifa watazikwa kama bobi na watatumia jina la mama yao kama ubin
Dini hii hii upande wa Cameroon inaruhusu viduku, hapa kwetu ni dhambi. Hapa unaruhusiwa kufuga ndevu tu ndio suna
King'asti ni kweli uyasemayo, wengi hufata mkumbo na huwa dunia imewashika kuliko mafundisho ya Kiislaam na ya Kikristo, sidhani kama Wakristo wanaruhusiwa "cleavage" wazi iwe kwenye harusi au si harusi.
Hivi uliulizwa UNAFIKIRI NINI KUHUSU WAKRISTO au uliulizwa KWA WAISLAMU TARATIBU ZIKOJE? Wewe jibu ulipoulizwa na sio kudhania dhania vitu.
Kuna maswali hapa yanahitaji majibu na wewe uko bize kudhania dhania, ebo!
1. Huyu jamaa alishagonga mzigo na ana wana-haramu wawili, je hawa wanaharamu wakifa, kaburi lao litaandikwa Toure au Fatuma kama ubini?
2. Mule ndani ya kibaraghashia mmenyolewa 'denge', je kwa dini yetu ya Zanzibar sio dhambi kuingia na denge msikitini?
3. Watoto haramu kama wa Habib, wanaoshwa wapi wasiwe haramu tena?
4. Je, hawa wana-haramu wakizaa watoto na watoto wao ni haramu pia?
Karibu mufti kwa majibu
Peleka jukwaa la dini , wacha kuharibu mada.
Ukristo unaruhusu kuwacha "cleavage" wazi?
Hivi uliulizwa UNAFIKIRI NINI KUHUSU WAKRISTO au uliulizwa KWA WAISLAMU TARATIBU ZIKOJE? Wewe jibu ulipoulizwa na sio kudhania dhania vitu.
Kuna maswali hapa yanahitaji majibu na wewe uko bize kudhania dhania, ebo!
1. Huyu jamaa alishagonga mzigo na ana wana-haramu wawili, je hawa wanaharamu wakifa, kaburi lao litaandikwa Toure au Fatuma kama ubini?
2. Mule ndani ya kibaraghashia mmenyolewa 'denge', je kwa dini yetu ya Zanzibar sio dhambi kuingia na denge msikitini?
3. Watoto haramu kama wa Habib, wanaoshwa wapi wasiwe haramu tena?
4. Je, hawa wana-haramu wakizaa watoto na watoto wao ni haramu pia?
Karibu mufti kwa majibu
Siunajua mashabiki wa man united wao wanajua kuhusu man u tu, mtoa mada kakosea pakubwa na huku avatar yake ikiwa na nembo ya man u, heheh!!
umekurupuka jaribu kufikir kabla ya kuweka uzi.uwe na mazoea ya kuakiki ulichoandika itakusahdia.jipe nafas ya kuwa msomaji wa uzi uone tunavyopata shda kukuelewa.
Nilisahau neno "wa zamani " kabla neno Asenali, nilijuwa watu wa asenali wange react tu kwa kuwa alitoka wakiwa bado wanamhitaji kama ilvyokuwa kwa Nasri, Clich NA Fabregas.
Las Mas Bobos
Naomba nijibu hata kama haiko directed to me, zomba ataongeza anachokifahamu akiamka lol
1 - Kisheria wanatakiwa wasitumie ubini wa baba
2-Sijui denge ni aina gani za nywele, as long as ni zake mwenyewe hakuna bandia uislam hakuna sheria ya kukataza hiyo hair cut, lakini inawezekana ikawa ni makruh (undesirable thing)
3-Hakuna takaso, they will remain the same lakini kwenye sheria ya mirathi hawarithi. Hii inawagusa zaidi hasa wale wenye nyumba ndogo bila ya ndoa. Kidini watoto wa haramu hawarithi, full stop
4-Wanatoto wao wanakuwa wanahalali kama ndoa ilipita kabla ya kuzaliwa kwao unless wao pia wanafuata mkumbo wa wazee wao