madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Aaa kumbe ni ya Juliana mi nilijua ni ya bushoke, alijitahidi kwakweliIla hyo ngoma ni ya Juliana, Bushoke alishirikishwa tu japo alifanya vzr kuliko kawaida na czan km aliwahi fny ngoma kali km hyo
Nakumbuka ilileta utata kwenye tuzo za kili maana nakumbuka kama ilishinda wimbo bora wa mwaka ila tuzo ikawa directed kwa bushoke ambaye ndie writer. Bushoke kiroho safi akaomba ipelekwe kwa juliana maana ndo mwenye rights zaidi na hiyo singleAaa kumbe ni ya Juliana mi nilijua ni ya bushoke, alijitahidi kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwangu wimbo wa "mapenzi gani" ngwair ft jide naona ndiyo the best collaboration katika bfWimbo wa Sikiliza wa Ngwair ft Mwana FA na Lady Jay Dee kwangu mimi unabaki katika rekodi zangu kama wimbo bora wa kushirikiana (kolabo) katika historia ya muziki wa bongofleva.
Kwako wewe ni upi? Karibu utupe mawazo yako