Kokoto

Kokoto

osnyo

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
45
Reaction score
5
kwa mahitaji ya kokoto na mchanga kwa bei nafuu tafadhali piga simu namba 0655 214 505
 
Nahitaji roli 3 za kokoto hapa Jamhuri, Lindi. Ni karibu na soko la sabasaba haupandi sana kile kilima cha kwenda ofisi za usalama wa Taifa au magereza, Karibu tu na Mkonge sekondari bei gani mkuu?
 
Nahitaji trip nane za kokoto niko huku Mwadiga Kigoma.
 
Nahitaji roli 3 za kokoto hapa Jamhuri, Lindi. Ni karibu na soko la sabasaba haupandi sana kile kilima cha kwenda ofisi za usalama wa Taifa au magereza, Karibu tu na Mkonge sekondari bei gani mkuu?
Kha!atoe kokoto Dar azilete lindi?
 
Nahitaji roli 3 za kokoto hapa Jamhuri, Lindi. Ni karibu na soko la sabasaba haupandi sana kile kilima cha kwenda ofisi za usalama wa Taifa au magereza, Karibu tu na Mkonge sekondari bei gani mkuu?
Hahahahah watu mmepindaje??
 
kwa mahitaji ya kokoto na mchanga kwa bei nafuu tafadhali piga simu namba 0655 214 505

Mimi nipo KIA hapa njia panda, nahitaji debe tatu za kokoto, kuna kibaraza navuta kwa mbele, bei gani??
 
Mi niko huku tunduma mpakani mwa zambia, nahitaji lori la mchanga mweupe. Kuna repair ya chumba kimoja nataka kufanya. Bei gani?
 
Nataka kokota uniletee huku Kyakampakani na kwa M7, tani 10 bei maelewano mzigo ukifika saiti
 
Back
Top Bottom