Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari

Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari
Nchi hii imekuwa ngumu sana kutawalika yaani hapa sijui cha muhimu ni nini kila kinachofanywa ni ufisadi tu na utawala wa mabavu sijui sasa hata tufanye nini wananchi tukichagua viongozi tunachakachuliwaWanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari
Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari
Amini chichiemu kama mpaka leo hujui wa kumuamini!!!:shock:Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari
serikali kutoa umeme unaotosha, kuhakikisha wazee wanapata pensheni, watoto wanakwenda shule, afya ya uhakika sio msaada ni wajibu..., nchi za wenzetu kama hauna kazi serikali inakupa pesa za kujikimu pamoja na kukutafutia nyumba...., jamani wakati umefika kujua majukumu ya serikali....., na hiyo pesa serikali haichimbi kutoka shimoni ni kodi yetu...