Kofia za CCM na CHADEMA wizi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kofia za CCM na CHADEMA wizi mtupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhu, Jan 23, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa wakiwa wanaponda sare za sisiem kuwa ni rushwa nimegundua kuwa pia vyama vyote viko kwenye harakati za kutafuta sare zifike kwa wanachama wote. tlp, cuf, chadema n.k nimeona kama muelekeo ni huo huo wa rushwa ya kanga, kofia, magwanda, mashati, n.k. Tumwamini nani? Mikutano mingi, makongamano yamepamba moto. Wananchi tukae tufanye kazi tuache bla bla. Hii si nchi ya kijamaa tena kuwa utategemea serikali ikusaidie. Tafakari
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Serikali kutoa umeme unaotosha, kuhakikisha wazee wanapata pensheni, watoto wanakwenda shule, afya ya uhakika sio msaada ni wajibu..., Nchi za wenzetu kama hauna kazi serikali inakupa pesa za kujikimu pamoja na kukutafutia nyumba...., Jamani wakati umefika kujua majukumu ya serikali....., na hiyo pesa serikali haichimbi kutoka shimoni ni kodi yetu...
   
 3. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wananchi tukae tufanye kazi.........kazi gani? Kilimo chetu kinategemea mvua, mvua hakuna! Zaidi ya asilimia 80 wanategemea kilimo unataka wafanye kazi gani badala ya kuhudhuria makongamano? Ni jukumu la serikali kuweka mfumo utakaowawezesha wananchi kufanya kazi.......kazi kubwa ya wananchi ni kilimo!
   
 4. V

  Vancomycin Senior Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wengine bwana wamebaki kuwa wabinafsi,kila mtu anajua inasemekana nchi asilimia 80% ni wakulima pamoja na kulijua hilo unakuja unakuja na hoja nyepesi ambapo unajua kwa dhati hata ardhi imeporwa na genge la wawekezaji na hao unaowatetea ambao wamehodhi ardh kubwa ambazo hata wengine hawazitumii.Mtu huyu ambaye hata elimu amenyimwa ardh yake ameporwa unasema tufanye kazi,kazi gani labda tuanze wizi kuwaibia ili turejeshe mlichopora.Hamna huruma,endelea kushiriki dhambi ya wiz kwa kuwapigie debe mafisadi.
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tupe kazi
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani umeambiwa na wao watawagawia watu ili wajiunge???Au ili wanachama wanaozihitaji wazipate???Usiwe mzito sana wa kufikiri!!!

  Yani kwa akili yako yote unaona watu wanapoenda kwenye mikutano inayohusu ukombozi wa nchi ni blah blah???Kweli wewe ni ZhuMBUKUKU!!Hata siku moja serikali haisaidii wananchi ila inawatumikia.
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nchi hii imekuwa ngumu sana kutawalika yaani hapa sijui cha muhimu ni nini kila kinachofanywa ni ufisadi tu na utawala wa mabavu sijui sasa hata tufanye nini wananchi tukichagua viongozi tunachakachuliwa
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  hujafafanua na tupe kinagaubaga chako
   
 9. n

  niweze JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii analysis ya CCM hapa wanaona hawa aminiki na rushwa zimejaa kwenye chama cha vichaa, wanataka Tiafa zima lionekane kama wao. Realy Realy Taifa lote lipo kama nyie. Kweli wewe uliandika haya una matatizo makubwa...
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Amini chichiemu kama mpaka leo hujui wa kumuamini!!!:shock:
   
 11. Z

  Zhu Senior Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadanganyika tumekwisha. Ukisema ukweli unaokana huna akili. I praise wazungu. Wakamekaa wakaona vyama vingi afrika si tatizo. Wamekuja na njia ya kuondoa vyama tawala vyote ili watutawale vema. We think they love us. They make us a part of comedy. Tafakari
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Binafsi namheshimu kila mtu, ila sijajuwa nyinyi mliochangia mmetumia vigenzo gani kuchangia thread hii? kwa sababu haieleweki, mtoa mada haeleweki nini alichotaka kukiwasilisha, hata mtoto wa nursery school hawezi kuandika mauzauza kama haya, naomba nieleweke wazi sikosoi kwa mitazamo ya kisiasa bali kitaaluma, huyu mtu anahitaji kwenda evening class. this thread is rubbish to me, westing of our time instead of discusing mandatory issues.
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu watu kama hao ambao hawajui kuwa ni wajibu waserikali ndiyo wanaochelewesha ukombozi, wasikusanye kodi basi kama wanadhani ni msaada!
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Inategemea unapopewa hizo kofia unapokea kwa makubaliano yepi........
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Serikali kusaidia si fadhila... wanatumia kodi zetu kufanya hayo tunayotaka wayafanye, wala si fedha zao
   
 16. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  avator yako tuu inaonyesha ww si mtanzania, hivo huna machungu na nchi na wananchi wake! so shame upon u!
   
Loading...