kaka unataka uwe katikiro a.k.a mnyanpara,nakumbuka hizo kofia walikuwa wanavaa,wale viongozi wa kiafrika,natives enzi hizo za mkoloni ambao walikuwa wameajiriwa kama makarani,matarishi,n.k,walikuwa wanavaa pamoja na magwanda ya kaki na kaptula za kaki na soksi(patesi)bila viatu.nakumbuka baba yangu mkubwa alikuwa anamechisha hivyo viwalo,pia alikuwa anavaa helment kofia kama zile wanazovaa Ma DC na Ma PC wa Kenya
Unataka kofia anayovaa Mh, au inayofanana na hiyo????? Kama unataka kofia hiyo hiyo, je! mganga wako kakwambia ni dili?????? Tafadhali tujuze kama ni dili, ili tuichangamkie.