hili tukio lilinifanya kumchukia kbs huyu mzee anaonekana ni mpenda sifa, anajskia, jeuri, ana dharau sn, mpelekeshaji.Nakumbuka aliwaha kumpiga shiti la makalio mnenguaji wake mmoja Airport nchini Kenya sijui shida ilikuwa nini.
Lilikuwa buti kali mno la makalioni.
DR HAYA LAND Monetary doctor.
Papa mopao unamchukiaje mkuu? Mnenguaji akizingua mpige shuti la makalio aheshimu kazihili tukio lilinifanya kumchukia kbs huyu mzee anaonekana ni mpenda sifa, anajskia, jeuri, ana dharau sn, mpelekeshaji.
Ushamtamani mke wa mtu..😀 Maneno ya Mungu yanasema... Usimtamani mke wa jirani yako... Maana mke wa mtu sumu... Mme wa mtu maziwa yenye asaliCindy nilimjulia kwenye wimbo wa Abracadabra nilipenda alivyoweka ile sauti kwenye huo wimbo ikifika anapoimba yeye huwa pananivutia sana!..
wacha maneno yako wewe...Ushamtamani mke wa mtu..😀 Maneno ya Mungu yanasema... Usimtamani mke wa jirani yako... Maana mke wa mtu sumu... Mme wa mtu maziwa yenye asali
Bila shaka ni braza angu wewe, heshima yako kaka.....hivi huyu mwamba hajawahi kuoa?Ni sahihi mkuu, japo umemsahau Marehemu AHMED BAKAYOKO aliyekuwa PM Ivory Coast. Mapenzi yangu kwa Muziki wa Koffii ni makubwa sana. I grew up listening to his music.
Tunaweza kuzungumza kila albam ya Koffie kwa miaka yote 40 ya carrier yake, tusiache kitu. 😁
Gari bovu uvutwa na gari zima.Mke mdogo kabisa
Ni boss ERIC MANDALAHuyo Adoph Chilawina si ndiye aliyedakwa Spain kwa kasafirisha sembe?.
Bila shaka ni braza angu wewe, heshima yako kaka.....hivi huyu mwamba hajawahi kuoa?
Mkuu unamchukia kwakuwa alimpiga mwanamke au kumpga hadharani. Nkweli Mopao anasifa za ubabe lakin lile tukio ni ile ya hasira hasara yaweza mtokea yeyote.hili tukio lilinifanya kumchukia kbs huyu mzee anaonekana ni mpenda sifa, anajskia, jeuri, ana dharau sn, mpelekeshaji.
Kaanza kuimba na koffi kitambo, angalia wimbo wa Ikea, kipindi hyo kablaa ya 2000s akiwa na akina Suzuki LuvubuCindy nilimjulia kwenye wimbo wa Abracadabra nilipenda alivyoweka ile sauti kwenye huo wimbo ikifika anapoimba yeye huwa pananivutia sana!..
Kazi ya Cindy ni kumvuruga akiwa ametulia na kumtuliza akiwa amevurugwa
Bado 🤳ya wewe na mrs 😛 sasa!!!😁