Wewe jamaa kwahiyo tatizo ilikua kuwatumbuiza kina Yanga pale taifa ndio useme kama kashuka? ...Marekani wasanii wakubwa tu Kina Young Thug ,Migos,Soulja boy tell em,Wiz khalifa sometimes wanafanya show kwenye vyuo vikuu tena kiingilio bure kabisa sembuse hiyo 5000Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Mashabiki wa Mkia FC wanaona gere tu, anachojali Koffi ni mkwanja tu,hayo mengine ni ya nyongeza tu, sijui kwanini Mkia FC wanachuki kisa katumbuiza mashabiki wa Yanga, wamesahau hata Pepe Kale nae aliwahi kuwatumbuiza Yanga wakati wa marehemu Abbasi Gulamali, hawa Mkia wamezoea kutumbuizwa na akina domo na vibaka wa muziki wa singeli, eti Koffi kaisha,hawa jamaa wanafurahisha kwa wivu wao wa kike.Duu kashuka status kwa kigezo kipi au labda ulitaka apige show venue gani ?
Huwezi niambia mtu aliyepiga show kwenye uwanja wa watu zaidi ya 50elfu ashuke status au labda sababu kafanya show ya YANGA.
Hawezi kuwa Olomide ni kolomijeTunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Olomide ana miaka 66 kaanza muziki 1979Huyo ni legendary,yupo kwenye miaka sabini sasa,hana Cha kupoteza mchango wake kwenye muziki wa Afrika nicmkubwa sana.
Tangu miaka ya 90,wakati huo Kanda bongo man,aurlus mabele,mbili bell,wenge,wengine wote wamepotea,yeye Bado yupo na moto ule ule,
Hata akiamua kupumzika sasa hv,vita amevipigana
Well said.Unavyokuwa mtu mzima.. maringo huwa yanaisha automatically. Kutokana na experience na mafunzo uliyoyapata maishani. Kwa umri wa koffi ameshazika marafiki na ndugu zake wengi sana .
Mtu mzima anakuwa anajua siku zake za kuishi zimefikia ukingoni.. anaamua kujipa raha na kuwapa watu raha maana hana cha kupoteza..
Kwa mtu kama koffi ambaye ameshatafuta hela sana ujanani... ana kila kitu.. koffi wa sasa hivi hawazi kujenga nyumba wala kununua gari.. anachowaza ni yeye kujipa raha na kuwapa watu wanaompenda raha.. hata kama kwa hela ndogo yeye hana hasara.. maana kusafiri safiri napo ni kujipa raha ya kukutana na mashabiki wake na kuwapa raha...
Koffi anamwona nandy kama mmojawapo wa washabiki wake. Na kwa heshima nandy anayompa koffi kofi hata hajali vyombo vya plastiki wala nini.. hata bill gates alivyokuja tanga alikula wali maharage huku ana smile kwenye sahani ya ajabu. Ama tajiri akiwa na ndugu zake anakula chakula bila maringo hata kama juu ya majani ya mgomba
Davido naye kashuka kiasi gani mpaka kufanya collabo na Nyange ambaye hata theluthi ya Nandi kimafanikio hajafika?Enzi yuko kwenye peak hata simu ya Nandy isingepokelewa achana na kufanya nae colabo ya wimbo usioeleweka
Hii imenishangaza pia...dayna nyange ft davidoDavido naye kashuka kiasi gani mpaka kufanya collabo na Nyange ambaye hata theluthi ya Nandi kimafanikio hajafika?
labda mzee wa nyeti,ila sisi wazee kweli unatwambia nini na rhumba!!!Zama zake zimeisha, ukizingatia hata sisi wazee sahivi hatusikilizi bolingo....
Wazee sahivi tunasikilizishwa π΅πΆ leo nakutoooooo tooooo tooo nakutoa kwenu uje kwangulabda mzee wa nyeti,ila sisi wazee kweli unatwambia nini na rhumba!!!
,mdukuzi yeye anachomiliki ni nyeti zake tuKwa hapa Afrika kwa sasa Koffi ni chuo kikuu cha muziki. Mzee anagawa ujuzi na anawapa watu burudani. Watu wanaenda kwa kofi kujifunza muziki na kupata uzoefu.
Koffi ameanza kuimba mwaka 1975, miaka 46 iliyopita.
Kwa vile koffi alipitia kwenye mikono ga mtaalamu Franco Luambo Makiadi akampika na yeye anaamua kupika vijana na kuwagawia ujuzi.
Tusisahau Koffi ana master degree ya hesabu. Bado koffi hawezi kulala njaa, muziki ukigoma anarudi chuo kikuu kufundisha hesabu na ma formula ya hesabu yale magumu magumu π.
Kwa mtazamo wako unaweza sema kashuka lakini sio kweli. Kof ana utajili mkubwa Sana ni Zaidi ya bilioni 50 za kibingo .Kuimba na akina Nandy kisiwe kigezo Cha kumshusha.Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake isingewezekana,eti Kofi aletwe na mwanamziki wa kariba ya Nandi ale ugali samaki kwenye hotpot za plastic,au ale makande kwa shishi food, aje kuwatumbuiza kina Mama j pale kwa mkapa kwa kiingilio cha buku tano,huyo sio Olomide tunayemjua,mwamba ameshuka status
Jamaa hajafanya uchunguzi kwa makini Boss ya Mboka anautajili wa Zaidi ya bilioni 50 pesa za kibongo.Duu kashuka status kwa kigezo kipi au labda ulitaka apige show venue gani ?
Huwezi niambia mtu aliyepiga show kwenye uwanja wa watu zaidi ya 50elfu ashuke status au labda sababu kafanya show ya YANGA.