Kodtec Speaker systems

nitampa wicalu amalize kazi nikishaipata
Hapo nairobi zinauzwa bei ya kawaida tu, wakenya wameilewa zaidi 3003d4,arusha pia bei sio mbaya, ni tofauti na yule jamaa wa sinza bob anauza gali sana. Jamaa wa arusha 0767 635 079
 
kenya now days wamehamia kwa mrussia ni mwendo wa DEAF BOUNCE(ALPHARD GROUP) ni hatari vinu vyao wana sub za hadi 4000 rms watts
 
kwa hyo kwako hyo 307d inaperform vizuri kuliko 312???
307d2 iko na special bass yaan deep low air bass na pia iko na loud bass flan unaifeel kwa ndani, maana frequency yake inaanzia 18hz na sensitivity yake ni 89db
Kwaio nilifunga 307d2 kwanza nisikie kishindo chake , aseeh hii ni beast kwenye model yake maana haimkeri mtu kifupi haina bass ya vurugu iko na clean bass. Kwa sasa nimeidiskonect kwenye amp kwa sababu amplifier ni kubwa sana kwake maana inatoa 500rms watts kwa 4 ohms na yenyewe ina 400rms .
Kwaio sasaiv nmeweka 312d4.

But 312 Ina loud deep bass tena ya mtetemo mkubwa yaan hii haitaki mtu wa presha za hovyo yaan ukiipa nayenyewe inafunguka haswa yaan bass lake ni kubwa kinoma na lile deep bass , kias kwamba vitu vilivyomo ndani lazima vichezecheze na vingine kusogea.
So
Kama unataka clean ultra deep lows bass unit sub is iyo na vurugu ni 307d2
Kama unavibe la mziki wenye deep lows loud bass sub then 312d4 iko best.
Thanks
 
Mkuu uko mkoa gani nataka unisetia hayo mavitu nibebe nirudi nayo home maana umeongea kitaalamu umenipoteza
Niko dodoma mjin makole kalibu na chuo cha cbe
Kalibu sana mkuu nakueleza mpaka calcultions zake za physics kukupa uhalisia usije choma sub au amplifier yako
 
Hii 3003d4 ni spl sub hatali sana kwa class yake hii ni moto mwingine mzee
Bro hujui ninachokipenda bas tu kila mtu na ladha yake ya mziki but
What am planning ni kutengeneza setup board kwa ajili ya kupangilia system yangu ionekane vizuri kama ya geokim wa kule kenya
Tengeneza board kama ya Tony Caretaker wa Kenya ,au master audio fabricators.
 
Back
Top Bottom